24 COMMENTS

  1. Ikiwa hawajakupa copy za registration rudi huko huko kotini au utuambie umerudi na.. Au wacha pang'ang'a za bure kwa press conference saa zote. Haja yako ni political mileage ya sympathy votes na fujo na ku frustrate vyama vyiengine into defeat. Ng'oo.

  2. Kitu funny ni those smoke bombs zikidropiwa zinapata both Njeri, Kilonzo and Otieno, zitatupata sote… Raila akisema kitu inakuwanga true ata watu wa Jubilee mnajua hiyo, Uhuru akiwa orezzo Raila akiwa orezzo life bado ni ile ile

Comments are closed.